Rapa Meek Mill Ajitoa Kwenye Mitandao Ya Kijamii

 

Rapa Meek Mill ameamua kujitoa katika mitandao ya Kijamii, baada ya kufuta kurasa zake za Instagram na Twitter.

Hivi Karibuni Rapa Meek Mill amejikuta akishambuliwa sana mitandaoni na Wasanii wa Rap Kutoka Philadelphia (sehemu alipozaliwa), baada ya Ujumbe wake alioutoa kuwa yupo Tayari kuwapa pesa Marapa wote wa Philadelphia ili tu waache kuuwana wenyewe kwa wenyewe .

Bado haijafahamika kama Mashambulizi hayo dhidi yake ndiyo yamempelekea kujitoa katika Mitandao ya Kijamii, au Labda tu ameamua apumzike kwa muda .


EmoticonEmoticon