Sony Wathibitisha PS5 Zimeisha Masokoni

 

Kama wewe ni miongoni mwa wale ambao wanaendelea kuagiza mzigo mpya wa PlayStation 5 (PS5), unaweza kuwa unakumbana na changamoto ya kupata oda yako mara baada ya kuagiza kuanzia November 19, tarehe ambayo bidhaa hizo mpya ziliachiwa rasmi kwa maeneo mengine ya dunia.

Sasa unaweza usiipate oda yako kwani bidhaa hizo zimeisha sokoni. Amethibitisha Jim Ryan, Entertainment CEO wa kampuni ya Sony ambaye amezungumza na mtandao wa nchini Urusi


"Kila kitu kimeisha. Karibu kila kitu kimeuzwa. Mwaka jana nilitumia muda wangu mwingi kujaribu kufikiri namna ya kuongeza uhitaji wa bidhaa na sasa ndio kitu ninachokifanya." alisema Ryan.


EmoticonEmoticon