Trump Alalamika Kuibiwa Kura Katika Uchaguzi Marekani

 

Rais wa Marekani Donald Trump ametumia Ukurasa wake wa Twitter kulalamika kuwa , anaongoza kwa kura nyingi Lakini wanachofanya ni kumuibia ili asishinde .


" Tunaongoza kwa kura nyingi , Lakini wanajaribu kutuibia . Hatuwezi kuwaruhusu wafanye hivi . Kura haziwezi kuhesabiwa baada ya vituo kufungwa " - ameandika 
Trump


EmoticonEmoticon