Mawakala wa
China wameongeza juhudi zao kushawishi utawala unaokuja wa Rais mteule Joe
Biden, afisa wa ujasusi wa Marekani amesema.
William Evanina, kutoka ofisi ya mkurugenzi wa upelelezi wa
Marekani amesema Wachina walikuwa wananalenga pia watu walio karibu na timu ya
Bwana Biden.
Bwana Evanina alisema hayo wakati wa kampeni ya ushawishi
inayojulikana kama "on steroids".
Tofauti na hayo, afisa wa idara ya haki alisema zaidi ya mawakili 1,000 wanaoshukiwa kuwa Wachina wamekimbia Marekani.
EmoticonEmoticon