Tetesi Za Soka Ulaya Alhamisi December 31, 2020
1. Kiungo mchezeshaji wa Argentina
Lionel Messi, 33, huenda akasalia Barcelona hadi 2023 kabla ya kujiunga na
klabu ya David Beckham, Inter Miami. Messi amenunua nyumba yenye thamani ya
£7.25m mjini maimi na kwamba anadaiwa kutaka watoto wake kujiunga na shule
Marekani.
2. Manchester United imeimarisha
hamu yao ya kumsajili beki wa Norwich Max Aarons , 20 lakini watalazimika
kusubiri hadi msimu ujao kwa mchezaji huyo wa England anayeichezea timu ya
wachezaji wasiodi umri wa miaka 21 England.
3. Emili Rousaud amesema kwamba
atamsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund na Norway Erling Braut Haaland,
20, katika uwanja wa Nou Camp iwapo atachaguliwa kuwa rais wa Barca.
4. Chelsea inatarajiwa kujiunga na
Manchester United na Liverpool katika kinyanganyiro cha kumsaini winga wa
Borussia Dortmund na England Jadon Sancho, 20.
5. Manchester United imeimarisha hamu yao ya kumsajili beki wa Norwich Max Aarons , 20 lakini watalazimika kusubiri hadi msimu ujao kwa mchezaji huyo wa England anayeichezea timu ya wachezaji wasiodi umri wa miaka 21 England.
EmoticonEmoticon