Habari Tano Kubwa Za Michezo Ijumaa Disemba 11

 

Tetesi Za Soka Ulaya Ijumaa December 11, 2020

1. Manchester United imemuongeza mlinzi wa Brighton Ben White kwenye orodha ya wachezaji wa beki wa kati wanaowataka. Anajumuishwa na wachezaji wengine wa Kifaransa Dayot Upamecano,22, wa RB Leipzig, na Raphael Verane wa Real Madrid 27.

2. Paris St-Germain wanajiandaa kwa uhamisho wa mkopo mwezi Januari wa kiungo wa kati wa Tottenham Dele Alli na inaamini Spurd wamejiandaa kumuachia mchezaji huyo wa miaka 24. 

3. Chelsea itahitaji kumfanya David Alaba mchezaji wao anayelipwa kitita kikubwa kama watatakiwa kumrejesha Stamford Bridge beki huyo wa pembeni wa Bayern Munich.

4. Kocha wa Arsenal Mikel Arteta ana mpango wa kumsajili mlinzi wa Uhispania Eric Garcia,19 kutoka klabu ya zamani ya Manchester City.

5. Sheffield United wanafikiria kumnyakua mlinzi wa Manchester United Muajentina Marcos Rojo, 30.


EmoticonEmoticon