Tetesi Za Soka Ulaya Jumanne December 15, 2020
1. Winga wa Wales Gareth Bale, 31,
inatarajia kufanya vyema Real Madrid msimu huu baada ya kuwa Tottenham kwa
mkopo.
2. Rais wa Juventus Andrea Agnelli
amesema klabu hiyo imempatia ofa ya kurefusha mkataba mshambuliaji Muargentina
Paulo Dybala, baada ya kiungo huyo mwenye umri wa miaka 27- kudai hajapewa
mkataba wowote.
3. Kiungo wa kati wa Inter Milan
Christian Eriksen, 28, hana mpango wa kurudi katika Ligi ya Primia na
hajakubali kuhamia Paris St-Germain.
4. Southampton wanapania kumsajili
kwa mkopo mchezaji wa safu ya kushoto na nyuma wa Manchester United Muingereza
Brandon Williams, mwezi Januari.
5. West Ham inaweza kumsajili kiungo wa kati wa Lyon Mrazil Marcelo, 33, kwa mkataba wa bure msimu ujao.
EmoticonEmoticon