Habari Tano Kubwa Za Soka Ulaya Jumanne Disemba 22

 

Tetesi Za Soka Ulaya Jumanne December 22, 2020

1. Liverpool haina mpango wa kumuuza mshambuliaji wa Misri mwenye umri wa miaka 28 Mo Salah licha ya madai kwamba hana raha kusalia katika klabu hiyo.

2. Beki wa Bayern Munich na Austria David Alaba amekataa kutia saini kandarasi mpya na mbingwa hao wa Ulaya na anaweza kuanza mazungumzo na klabu nyengine mwezi Januari. Chelsea, Real Madrid na Paris St-Germain ni miongoni mwa klabu zilizo na hamu ya kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28. 

4. Newcastle United na Sheffield United zina hamu ya kumsajili beki wa Manchester United na Argentina Marcos Rojo, 30, kwa mkopo. 

5. Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola hataraji kununua mshambuliaji mpya wakati wa dirisha jipya la uhamisho mwezi Jauanri , licha ya Gabriel Jesus na Sergio Aguero kukosa mechi ya ushindi dhidi ya Southmpton siku ya Jumamosi.


EmoticonEmoticon