Habari Tano Kubwa Za Soka Ulaya Jumanne Disemba 29

 

Tetesi Za Soka Ulaya Jumanne December 29, 2020

1. Mshambuliaji wa Uhispania Diego Costa, 32, ameambia klabu ya Atletico Madrid anataka kandarasi yake kufutwa na kuondoka katika klabu hiyo katika dirisha la uhamisho la mwezi. 

2. Arsenal inafikiria kufanya uhamisho wa ghafla wa mshambulikaji huyo wa zamani wa Chelsea , huku Gunners wakiwa na mpango wa kuongeza mshambuliaji mwengine.

3. Iwapo Costa atajiunga na wapinzani wao wakuu katika ligi ya La liga Real Madrid, Barcelona au Sevilla, timu yake mpya italazimika kulipa £22.7m.

4. Mkufunzi wa zamani wa Paris St-Germain Thomas Tuchel ni miongoni mwa makocha walioorodheshwa kumrithi Frank Lampard katika klabu ya Chelsea. 

5. Mkufunzi wa Tottenham Hotspur Jose Mourinho anatumai kuungana tena na beki wa Uhispania Sergio Ramos 34 huku akichunguza mkwamo kuhusu kandarasi yake katika klabu ya Real. 


EmoticonEmoticon