Tetesi Za Soka Ulaya Alhamisi December 24, 2020
1. Chelsea imejiunga katika
kinyang'anyiro cha kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Braut
Haaland, 20, lakini Manchester City inajichukulia kuwa ndio ilio kifua mbele
kumsajili mchezaji huyo.
2. Liverpool ina hamu ya kusajili
beki wa Real madrid na Eder Militao, 22, huku mchezaji huru wa Argentina
Ezequiel Garay, 34, akitarajiwa kujiunga na klaby Jurgen Klopp.
3. Mikael Arteta na Arsenal
Arsenal wana hamu ya kumsaini mshambuliaji wa Real Madrid na Brazil Vinicius
Jr, 20, kwa mkopo mwezi Januari , lakini wameamua dhidi ya kumsaini mchezaji
mwenza na kiungo wa kati wa Uhispania Isco, 28, ambaye anatarajiwa kujiunga na
Juventus.
4. Paris St-Germain inamnyatia
Rudiger, huku beki huyo akipata tatizo la kujiunga na kikosi cha kwanza katika
klabu ya Stamford Bridge.
5. Barcelona imeanza mazungumzo na beki wa Arsenal na Ujerumani Shkodran Mustafi, 28, ya uhamisho wa bila malipo wakati kandarasi yake itakapokamilika mwisho wa msimu.
EmoticonEmoticon