Habari Tano Kubwa Za Soka Ulaya Jumatano Disemba 09

 

Tetesi Za Soka Ulaya Jumatano December 9, 2020

1. Barcelona wanapenda kumsajili beki wa kati wa Chelsea, Mjerumani Antonio Rudiger. Juventus na AC Milan pia watakuwa wakimuwania mchezaji huyo mwenye miaka 27.

2. Klabu ya ligi kuu Marekani inaongoza kwenye kinyang'anyiro cha kumnasa kiungo wa kati Mjerumani anayekipiga Arsenal Mesut Ozil,32.

3. Juventus wanaweza kumuuza kiungo wa kati wa Wales Aaron Ramsey msimu ujao baada ya mchezaji huyo mwenye miaka 29, kushindwa kuisaidia klabu yake tangu ajiunge nayo akitokea Arsenal mwaka 2019.

4. Mshambuliaji wa Brazil Hulk, 34, anaweza kujiunga na klabu ya ligi ya primia kwa uhamisho huru mwezi Januari baada ya kumaliza mkataba wa miaka minne na Shanghai SIPG ya China.

5. Juventus wanaweza kumuuza kiungo wa kati wa Wales Aaron Ramsey msimu ujao baada ya mchezaji huyo mwenye miaka 29, kushindwa kuisaidia klabu yake tangu ajiunge nayo akitokea Arsenal mwaka 2019.


EmoticonEmoticon