Rap Maarufu kutoka Marekani Lil
Wayne huenda akahukumiwa miaka 10 jela baada ya kukiri mahakamani kumiliki
bunduki ya dhahabu pamoja na risasi kinyume cha sheria.
Lil Wayne amekiri kuwa na bunduki hiyo wakati alipokuwa
akisafiri kuelekea Florida kwa ndege binafsi mnamo Desemba 2019. Hukumu ya kesi hiyo imapangwa kutolewa Januari 28, 2021
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon