Maneno 10 Yaliyotafutwa Zaidi Kwenye Mtandao Wa Google 2020 Afrika Mashariki

 

Kampuni ya Google imetoa orodha ya maneno yaliyotafutwa zaidi katika nchi mbalimbali duniani mwaka 2020 ikiwemo Kenya.

Orodha hiyo sio tu imeonesha mwelekeo unaopendelewa zaidi katika miezi 12 iliyopita, bali pia imeweka bayana matukio makubwa zaidi katika habari, siasa, michezo, burudani na mwelekezo wa mtindo.


Ifuatayo ni orodha ya maneno kumi yaliyotafutwa zaidi nchini Kenya mwaka 2020:
1. English Premier League
2. US elections
3. Thank you coronavirus helpers
4. Coronavirus in Kenya
5. Schools reopening in Kenya
6. Tanzania coronavirus
7. Boris Johnson
8. Coronavirus in Italy
9. Waiguru impeachment
10. London marathon


EmoticonEmoticon