Mastaa 10 Walioingiza Mkwanja Mrefu Kwa Mwaka 2020

 

Mwanamitindo na mfanyabiashara, Kylie Jenner ametajwa kuwa ndiye mtu mashuhuri aliyeingiza mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2020 katika Orodha iliyotolewa na Jarida la Forbes ya Masataa 100 walioingiza Mkwanja Mrefu zaidi mwaka 2020.

Mapato ya Kylie Jenner mwaka huu yalikuwa dola milioni 590, baada ya kuuza hisa nyingi za chapa yake kwa Coty Inc.

Kanye West anashika nafasi ya pili baada ya kukusanya mapato mengi zaidi mwaka huu kutokana na Mauzo ya viatu vyake AdidasYeezySneakers.

Hii ndiyo Top 10 ya Mastaa walioingiza mkwanja mrefu zaidi Mwaka 2020

1. Kylie Jenner $590M
2. Kanye West $170M
3. Roger Federer $106.3M
4. Cristiano Ronaldo $105M
5. Lionel Messi $104M
6.Tyler Perry $97M
7. Neymar $95.5M
8. Howard Stern $90M
9. LeBron James $88.2M
10. Dwayne Johnson (The Rock) $87.5M


EmoticonEmoticon