Mtandao wa Spotify umetoa Orodha ya wasanii waliosikilizwa zaidi
ulimwenguni katika mtandao huo kwa mwaka 2020, Bad Bunny ndiye msanii
aliyesikilizwa zaidi kwenye Mtandao huo kote ulimwenguni akiwa na zaidi ya
Streams bilioni 8.3 huku albamu yake ya YHLQMDLG ikiwa ndiyo Album
iliyosikilizwa zaidi kwa mwaka 2020 ikiwa na streams bilioni 3.3.
Hii ndiyo
Top 10 ya wasanii waliosikilizwa zaidi katika mtandao wa Spotify mwaka
2020
1.Bad Bunny
2. Drake
3. J Balvin
4. Juice WRLD
5.The Weeknd
6.BTS
7. Billie Eilish
8. Taylor Swift
9.Post Malone
10. Travis Scott
EmoticonEmoticon