Seneta Norma Durango amewasilisha
muswada Bungeni nchini Argentina akipendekeza picha ya Legend wa soka Diego
Maradona aliyefariki Novemba 25, iwekwe kwenye fedha za noti za Nchi hiyo (Peso
1,000 sawa na Sh 27,600.)
Durango amesema lengo ni kumuenzi nyota huyo kwa heshima
aliyolipa taifa hilo mwaka 1986 baada ya kuwezesha Argentina kutwaa kombe la
dunia.
Noti hiyo itaonyesha sura ya Maradona huku upande mwingine
ikionyesha goli maarufu alilofunga kwenye mchezo wa robo fainali dhidi ya
Uingereza 1986.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon