Raia Wa Urusi Watakwa Kutokunywa Pombe Kwa Miezi Miwili

 

Urusi imewataka raia wake kutokunywa pombe kwa miezi miwili mara tu wanapoanza kutumia chanjo ya COVID19.

Raia wa Urusi, ambalo ni miongoni mwa mataifa yenye kiwango kikubwa cha unywaji pombe, pia wametakiwa kitotumia dawa zinazoathiri mfumo kinga ya mwili (immunosuppressant).


EmoticonEmoticon