Raisi Wa Urusi Rasmi Amempongeza Joe Biden Kwa Ushindi

 

Hatimae Rais wa Russia Vladimir Putin amempongeza Joe Biden baada ya kutangazwa kuwa Rais ajae wa Marekani kuanzia January 2020.

Baada tu ya Biden kuonekana ameshinda Putin alisema hayupo tayari kumtambua kama Mshindi wa Urais Marekani na hatompongeza kwakuwa Trump hajayakubali matokeo hivyo Demokrasia haijazingatiwa.

Alisema “Tutafanya kazi na yeyote atakayetangazwa Mshindi kihalali na Wamarekani wakasema anafaa, ila pia Mshindi ni lazima awe amekubalika na upande wa pili, Trump bado hajakubaliana na matokeo kwanini nianze kumpongeza Joe?"


EmoticonEmoticon