Wafuasi 13 wa Rais Donald Trump
wamefunguliwa mashtaka Nchini Marekani kwa kuhusika na vurugu wakati wafuasi
hao walipovamia Bunge, vurugu hizo zimesababisha mauaji ya Watu wanne.
Miongoni mwa walioshtakiwa ni Mwanaume ambaye picha zake
zimesambaa akiwa ameingia kwenye Ofisi ya Spika wa Marekani Nancy Pelosi na
kuweka miguu juu ya meza, Spika anasema Laptop yake imepotea ofisini.
Jamaa huyo amekamatwa na kutambuliwa kama Richard Barnett, wa Gravette, Arkansas.
EmoticonEmoticon