Bilionea Wa China Jack Ma Aonekana

 

Bilionea wa China ambaye ni Mwanzilishi wa Alibaba Group Jack Ma, ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu alipoonekana mara ya mwisho October 2020, awamu hi ameonekana akiongea na Walimu kwa njia ya video.

Bilionea huyo ambaye ni Mtetezi wa uchumi wa wazi kwenye biashara hajaonekana hadharani kwa miezi miwili, ripoti zinaeleza mara ya mwisho alionekana October 24 alipokosoa mfumo wa kisheria wa China kukwamisha biashara hotuba ambayo inadaiwa kutozipendeza Mamlaka Nchini humo.


EmoticonEmoticon