Habari Kubwa Za Soka Ulaya Alhamisi January 7

 

Tetesi Za Soka Ulaya Alhamisi January 7, 2021

1. Mazungumzo mapya ya kandarasi kati ya Liverpool na kiungo wa kati wa Uholanzi Georginio Wijnaldum, 30, yamegonga.

2. Everton inataraji kupokea ofa za Moise Keane 20 kutoka klabu ya PSG , ambapo mshambulaji huyo wa Itali yuko katika mkopo lakini pia Everton haina haraka kuamua kuhusu hatma yake ya baadaye.

3. Kiungo wa kati wa Arsenal na Ujerumani Mesut Ozil, 32, amekubali mkataba wa miaka mitatu na nusu na klabu ya uturuki Fenerbahce.

4. Hatima ya Ozil itaamuliwa hivi karibuni , lakini lengo la mshindi huyo wa kombe la dunia ni kusalia Arsenal hadi kandarasi yake itakapokamilika katika majira ya joto.


EmoticonEmoticon