Tetesi Za Soka Ulaya Jumatano January 20, 2021
1. Mshambuliaji wa Inter Milan na
Ubelgiji Romelu Lukaku, 27, hana haja ya kujiunga na Manchester City.
2. Liverpool na Barcelona bado
hawajakata tamaa ya kusaini mkataba na mlinzi wa Bayern Munich na Austria David
Alaba, 28, licha ya kwamba Real Madrid wanakamilisha mkataba naye.
3. Manchester United wanaandaa dau
la pauni milioni 11 kwa ajili ya mchezaji wa safu ya ulinzi ya Lens na
Argentina Facundo Medina, 21.
4. Kiungo wa kati wa Tottenham na
England Dele Alli, 24, anaimani kuwa atasaini mkataba wake wa kuhamia Paris
St-Germain katika kipindi cha dirisha la uhamisho mwezi Januari .
5. Nice wametuliza nia yao ya kumchukua kiungo wa kati wa Manchester United na England Jesse Lingard, 28 kwa mkopo .
EmoticonEmoticon