Inasemekana Messi Hatosaini Mkataba Ujao Barcelona, Hii Ndyo Timu Iliyopo Mbele Kumnyakua

 

Mgombea wa rais katika klabu ya Barcelona Agusti Benedito anasema kwamba hafikirii kwamba Lionel Messi 33 ataongeza mtakaba wake katika klabu hiyo unaoisha mwezi Juni 2021. 

Manchester City inaamini wako mbele ya mstari kumsaini lionel Messi iwapo mshambuliaji huyo wa Argentina ataondoka Barcelona katika majira ya joto. 

Lakini Barcelona inasema kwamba itajaribu kuzungumza na Messi ili kumshawishi kuongeza mkataba wake baada ya kusema kwamba angependelea kucheza nchini Marekani mwisho wa mchezo wake.


EmoticonEmoticon