Kamala Harris Ala Kiapo Kuwa Makamu Wa Rais Wa Kwanza Mwanamke

 

Kamala Harris ala kiapo kuwa Makamu wa Rais wa kwanza mwanamke katika historia ya Marekani.

Ameapishwa na Jaji wa Mahakama ya Juu Sonia Sotomayor, ambaye aliweka historia mwaka 2009 kuwa mtu wa kwanza mwenye asili ya latini kushika nafasi ya juu katika mahakama hiyo.

 


EmoticonEmoticon