Msamaha Wa Trump Kabla Ya Kutoka Madarakani Wamfikia Lil Wayne

 

Rais Donald Trump anatarajiwa kutoa kinga za kutoshtakiwa kwa watu takribani 100 kabla ya kukabidhi ofisi kwa Joe Biden. 

Mmoja ya wanaotajwa kunufaika na msamaha huo ni rapa Lil Wayne ambaye alikiri shtaka la kukutwa na silaha kinyume cha sheria akikabiliwa na miaka 10 gerezani.


EmoticonEmoticon