Mtandao Wa Twitter Waifuta Akaunti Ya Raisi Wa Marekani Donald Trump

 

Mtandao wa Twitter umeifunga kabisa akaunti ya Rais wa Marekani Donald Trump kwa muda usiojulikana kwa madai kuwa jumbe zake ambazo amekuwa akiziandika zinachochea vurugu.

Hata hivyo siku ya Jumatano kampuni hiyo baada ya kuizuia akaunti hiyo kupost chochote kwa masaa 12 ilisema kwamba ukiukaji zaidi wa Kanuni za Twitter ungeweza kusababisha hatua hii,"


Twitter imefikia uamuzi huo baada ya siku ya jana Trump kuandika kuwa hatohudhuria hafla ya kuapishwa rais mteule bwana Joe Biden mnamo Januari 20, 2021


EmoticonEmoticon