Uingereza Yapiga Marufuku Abiria Kutoka Tanzania, DRC

 

Uingereza yapiga marufuku abiria kutoka Tanzania na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuzuia maambukizi ya aina mpya ya virusi vya corona.

"Abiria wote kutoka mataifa haya hawaruhusiwi kuingia Uingereza na mataifa ya Irish ," Welwyn Hatfield mbunge na katibu wa usafirishaji ameandika katika tweet.

Kuanzi tarehe 22 Januari,saa kumi alfajiri wasafiri wote kutoka au wamepita Tanzania ndani ya siku 10 hawaruhusiwi kuingia Uingereza na mataifa ya Irish, na wale ambao wana haki ya makazi nchini Uingereza na wanatoka Tanzania watahitaji kujitenga nyumbani kwao watakapowasili.

Katika masharti mapya nchini dhidi ya Corona, lazima watu wabaki nyumbani au kusafiri, pamoja na kusafiri kutoka nje ya nchi labda tu ukiwa umeruhusiwa kwa kibali maalum kufanya hivyo.

Credit : Bbc


EmoticonEmoticon