Waziri wa mambo ya nje na Biashara Zimbabwe Sibusiso Moyo amefariki kwa covid 19, Ripoti mpya zimeeleza.
Huyu anakua Waziri wa 3 kufariki Zimbabwe tangu July 2020, Mawaziri wengine wawili chanzo hakikutangazwa lakini baadhi ya Magazeti yaliandika ni covid 19.
EmoticonEmoticon