Tetesi Za Soka Ulaya Jumatatu February 15, 2021
1. Liverpool na Manchester City
zinamnyatia kiungo wa kati wa Borussia Monchengladbach Florian Neuhaus, 23.
2. Kocha wa Paris St-Germain
Mauricio Pochettino anamuwinda aliyekuwa mlinda lango wake Tottenham Hugo
Lloris.
3. Mlinzi wa Brazil David Luiz,
33, anatarajiwa kusaini makubaliano mapya ya kuendeleza mkataba wake Arsenal.
4. Kiungo wa kati wa Uhispania
Dani Ceballos atagharimu Arsenal pauni milioni 22 zikiwa zinataka kumnunua moja
kwa moja Real Madrid msimu huu.
5. Newcastle imepewa fursa ya kumsaili aliyekuwa mchezaji wa Liverpool na Chelsea mshambuliaji Daniel Sturridge. Mchezaji huyo, 31, amekuwa bila klabu tangu alipoondoka Trabzonspor.
EmoticonEmoticon