Habari Tano Kubwa Za Soka Ulaya Jumanne February 23

 

Tetesi Za Soka Ulaya Jumanne February 23, 2021

1. Rais wa Barcelona Toni Freixa anaamini itawezekana kuwasajili washambuliaji wa PSG na Ufaransa Kylian Mbappe, 22, na mwenzake wa Borussia Dortmund na Norway Erling Braut Haaland, 20. 

2. Barcelona imeongeza hamu yake katika kumsajili mshambuliaji wa Sweden na Real Alexander Isak, 21, huku wakiwa na mpango wa kumsajili mshambuliaji mpya mwisho wa msimu huu. 

3. Tottenham Hotspur huenda ikamuajiri mkufunzi wa klabu ya RB Leipzig Julian Nagelsmann kuchukua nafasi ya mkufunzi wake Jose Mourinho. 

4. Juventus na Inter Milan zimejiunga katika kinyanganyiro cha kumsajili mshambuliaji wa Manchester City, 32 raia wa Argentina Sergio Aguero, ambaye tayari amezungumza na Barcelona na Atletico Madrid kuhusu uwezekano kuhamia katika klabu hizo mwisho wa msimu huu. 

5. Manchester United imekataa kuruhusu kifungu kitakachoiruhusu West Ham kumsaini kiungo wa kati wa West Ham Jesse Lingard, 28 kwa dau fulani mwisho wa msimu huu. 


EmoticonEmoticon