Habari Tano Kubwa Za Soka Ulaya Alhamisi February 11

 

Tetesi Za Soka Ulaya Alhamisi February 11, 2021

1. Kocha wa Paris St-Germain Mauricio Pochettino amesisitiza klabu yake na wachezaji hawajaonesha ''utovu wa nidhamu'' kwa kuzungumzia nia yao ya kumsajili mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi.

2. Manchester City itamsajili mshambuliaji mpya majira haya ifanikiwe kumchua Messi au la, huku mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Braut Haaland, 20, akiwa kipaumbele. 

3. Dortmund wanafikiria kuwauza wachezaji saba msimu huu wa joto, akiwemo winga Jadon Sancho, 20. 

4. Kocha wa Chelsea Thomas Tuchel amemtaka kiungo wa kati wa PSG Kays Ruiz-Atil , 18 kumfuata Stamford Bridge. 

5. Jose Mourinho amekiri kuwa kiungo wa Kiingereza Dele Alli, 24, yawezekana amevurugwa na uvumi unaomuhusisha yeye kuondoka Tottenham. 


EmoticonEmoticon