Polisi Nchini China imesema
inawasaka Watu wanaotengeneza chanjo bandia za Corona ambapo inaripotiwa kuwa
Mtandao huo wa kihalifu umekua ukitengeneza chanjo feki tangu September Mwaka
2020.
Polisi kutoka maeneo ya Jiangsu, Beijing na Shandong
wamewakamata zaidi ya Watu 80 waliohusika katika utengenezaji wa zaidi ya dozi
feki Elfu 3 za chanjo ya Corona.
“Wanapata faida kubwa, wanachanganya majimaji yenye chumvi
ndani ya sindano ili kutengeneza chanjo bandia za virusi vya corona na kuziuza
kwa bei ya juu” - Polisi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon