Zawadi Aliyozawadiwa Cardi B Na Mume Wake Offset Siku Ya Wapendanao

 

Rapa Maarufu kutoka Nchini marekani Offset katika kusherehekea siku ya Wapendanao Valentines jana (Februari 14) alimzawadia Baby Mama wake, Cardi B mkoba uliokuwa kwenye Cage maalum wenye thamani ya Dolla 20,500 ( sawa Milioni 47 za Kitanzania).


Kupitia ukurasa wake wa Instagram Cardi B alipost video clip ikiuonesha Mkoba huo pamoja na risiti yake na kumshukuru Kipenzi chake Offset kwa zawadi hiyo,


"Wow Asante mpenzi Mara nyingi unaniletea vitu vya kitofauti nakupenda na nakuheshimu sana". Aliandika Cardi B


EmoticonEmoticon