Tetesi Za Soka Ulaya Jumanne March 2, 2021
1. Meneja wa Manchester City Pep
Guardiola anasema mlinzi wake Mhispania Eric Garcia, 20, atajiunga na Barcelona
msimu huu wa joto.
2. Mshambuliaji wa Ufaransa
Alexandre Lacazette, 29, yuko tayari kuondoka Arsenal msimu huu wa joto.
3. Meneja wa RB Leipzig Julian
Nagelsmann atataka kuhamia Tottenham, kama klabu hiyo ya Primia Ligi itaamua
kumtafuta meneja mwingbine badala ya Jose Mourinho.
4. Uingereza iko tayari kuandaa
mashindano yote ya Ulaya msimu huu wa joto, anasema Waziri Mkuu wa nchi hiyo
Boris Johnson. Chansela Rishi Sunak pia yuko tayari kutangaza ufadhili wa
pamoja wa Uingereza na Ireland zabuni ya kuandaa Kombe la Dunia 2030.
5. West Ham wana matumaini ya kumsajili mshambuliaji wa Tammy Abraham, 23, kutoka Chelsea msimu huu, huku wachezaji wawili wa Ligi Kuu ya Uingereza, Eddie Nketiah, 21 wa Arsenal na Ivan Toney, 24 wa Brentford wakiwa Katika orodha yao ya wafungaji mabao.
EmoticonEmoticon