Jipatie Sandals Bora Original Za Jumla, Rejareja Za Kike Na Kiume Kwa Umri Mdogo Na Mkubwa

Wauzaji wa jumla na rejareja wa sandals kali sogea kwa Mr sandals jijini Dar es salaam Kariakoo mtaa wa Narung'ombe na likoma karibu na kituo cha mwendokasi cha msimbazi B.

Kitu kizuri ni kwamba Mr sandals anakuwezesha kupata mzigo popote ulipo hapa nchini Tanzania yaani kwa mikoani mzigo unatumiwa baada ya malipo na kwa wakazi wa Dar es salaam tunafanya Delivery kwa gharama za mteja yaani usafiri mteja utalipia. 

Karibuu tukuhudumie njoo kwenye Instagram page yetu  @mr_sandals_tz  ama tupigie simu au tutafute WhatsApp kupitia 0747242457 njoo kwa Mr Sandals ushine zaidi.


TAZAMA VIDEO KAMILI HAPA