TAZAMA MKEKA WA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI ALILOLIBADILISHA RAISI SAMIA

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. 

Akitangaza mabadiliko hayo leo Jumamosi Januari 8, 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Kattanga amesema Rais amefanya mabadiliko ya muundo katika wizara tatu.

Rais Samia amefanya mabadiliko hayo ikiwa anatimiza ahadi yake ya kufanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri.

TAZAMA NA USWIPE